SHILOLE ATAJA SABABU ZA KURUDIANA NA SERENGETI BOY WAKE
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/shilole-ataja-sababu-za-kurudiana-na.html
STAA wa
wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema sababu kubwa
ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni
kuombwa msamaha.
Shilole
alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na
kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba msamaha
wakarudiana na mambo yakawa swari.
“Kikubwa
ni kwamba ameomba msamaha ndiyo maana na mimi sikuwa na hiyana,
nikapatana naye siku chache tu baada ya kugombana,” alisema Shilole.Hivi
karibuni wawili hao waliripotiwa kuwa wamegombana na kila mtu kuchukua
hamsini zake.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA