TAARIFA KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA, RIPOTI YA BENKI ZINAONESHA ABIRIA WAMEENDELEA KUCHUKUA PESA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/taarifa-kuhusu-ndege-ya-malaysia.html
Ndege
ya Malaysia Flight MH 370 iliyopotea miezi mitano iliyopita imerudi
tena kwenye vichwa vya habari ikiwa na ripoti za kushangaza.

“We
are investigating the case as unauthorised access with intent to commit
an offence,We are getting CCTV footage from the bank to identify the
suspects involved.”
Ameeleza
kuwa pesa hizo zilitolewa katika akaunti ya abiria watatu na kuwekwa
katika akauti ya abiria wanne kabla ya kutolewa kabisa.
Ndege
ya Malaysia ilipotea March 8, 2014 ikiwa imebeba wafanyakazi 12 na
abiria 227 kutoka katika mataifa mbalimbali na bado haijapatikana huku
maafisa wakitangaza kuwa watu wote waliokuwa kwenye ndege hiyo
wamepoteza maisha.
CHANZO TIMES FM
CHANZO TIMES FM
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA