Tazama Picha - Utengenezaji wa video ya Profesa Jay 'Tatu Chafu'

Profesa Jay ameanza kushuti video ya wimbo wake ‘Tatu Chafu’ alioutoa wiki chache zilizopita ukiwa umetayarishwa ndani ya studio za Mwanalizombe.
Katika video hiyo, tarajia kumuona profesa akiwa na katika maisha ya hali ya juu, gari la kifahari 'Hammer', Cigar mtoko wa ki-don.
Profesa ameonesha kuiamini sana video hiyo inayoongozwa na Hefemi, ambayo tangu awali alisema itakuwa katika kiwango cha kimataifa.
 Picha: Utengenezaji wa video ya Profesa Jay

“Day one. .. Madirector na maproducer wetu tukiwawezesha WANAWEZA , Asante Mungu. .. #Hatuachii Gap #Nakung'ata mchana kweupeee kama MBU wa DENGU #puna Nikupune #BACK2BACK MUZIK #STRICKLY HIPHOP #TheMastermind of the GAME #Nilimshawishi baba yako akuruhusu Uimbe. ..UNABISHA???” Ameandika Profesa kwenye picha alizoshare Instagram.

"#TATUCHAFU video. ...#MGodi unaotembea kwenye HIP HOP GAME #puna nikupune #Hatuachi gap tena mpaka waombe POOH #MWANALIZOMBE #Video directed by @hefemi Three Locations to GO. #God is great!!!"

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. like hapa

Related

BURUDANI 716468267281458761

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item