Umeipata hii ya huyu kijana kuwataka kimapenzi Ma-Mc wa Dar?
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/umeipata-hii-ya-huyu-kijana-kuwataka.html
Idara
ya Hekaheka ambayo ipo ndani ya kipindi cha Leo Tena ina stori kuhusu
kijana ambaye kwa umri anaonekana bado mdogo kuwataka kimapenzi Ma Mc wa
shughuli mbalimbali.
Ukitoa
tu kuwataka kimapenzi kitu ambacho kimewashangaza hata hao Ma-Mc ni
namna alivyo na ujasiri ukilinganisha na umri wake kwani Ma Mc hao ni
wakubwa kwake na ni kama mtoto wao.
Gea
Habib kapiga stori na Ma-Mc hao ambao walimtengenezea mtego wa
kumkamata kijana huyo ambapo nae kazungumza kwenye hii Hekaheka na kutoa
sababu za kuamua kufanya hivyo.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA
