WATU 22 WAFARIKI, 270 WAJERUHIWA KATIKA MILIPUKO YA GESI TAIWAN

Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan.
Magari, barabara vikiwa vimeharibiwa na milipuko hiyo.
Mmoja wa majeruhi akitolewa eneo la mlipuko.
Maafa zaidi yaliyosababishwa na milipuko hiyo.
WATU 22 wamefariki dunia huku 270 wakijeruhiwa baada ya milipuko kadhaa iliyosababishwa na kuvuja kwa gesi kutokea katika jiji la Kaohsiung nchini Taiwan jana usiku. Mlipuko huo uliosababisha moto mkubwa uliopindua magari, kuharibu barabara na baadhi ya majengo.

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

KIMATAIFA 4895647755291482589

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item