Basi la Air bus kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora limepata ajali
http://melckstudio.blogspot.com/2014/09/basi-la-air-bus-kutoka-dar-es-salaam.html
hivi punde!! Ajali nyingine mbaya maeneo ya Kiegeya Gairo, gari la abiria kutoka dar-tabora limepata ajali mbaya kiasi kwamba watu karibia 48 wamepoteza maisha. Ni dakika 6 zilizopita. Picha hazifai kuonwa na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi..Viongozi Mbali mbali wa Serikali tunao hapa..Kwakweli ni majonzi vilio.
Air bus dar-tabora muda huu
LIKE HAPA