ALICHOKISEMA BABA YAKE NUH BAADA YA KUSIKIA MWANAE KAJICHORA TATOO YENYE JINA LA SHILOLE.
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/alichokisema-baba-yake-nuh-baada-ya.html
Wiki
kadhaa zimepita tangu Nuh Mziwanda aamue kujichora tatoo yenye jina la
mpenzi wake Shilole leo baba yake mzazi kazungumza juu ya hatua hii
aliyoamua kuifanya mtoto wake Nuh kwa upande wake.
Bonyeza play kusikiliza.kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA
