JINSI WEZI WALIVYOIBA NJIA YA RELI AFRIKA KUSINI

reli
Wezi wa vyuma chakavu nchini Afrika kusini wameiba takribani kilomita 10 za reli ya mizigo inayotumika na kusababisha uharibifu wa takribani dola milioni 2.3.
Kipande cha reli hiyo kilichoharibiwa vibaya kimesababishwa na wezi waliotekeleza uhalifu huo miezi kadhaa iliyopita kutoka sehemu inayosafirisha treni kutoka mji wa Johannesburg hadi Nigel, ambapo wanaume watano wamefikishwa mahakamani baada ya kukutwa wakifanya kitendo hicho na askari waliokuwa doria.
Mmoja wa viongozi wa kamati ya usafirishaji ya Afrika Kusini Thumbu Mahlangu,amenukuliwa akisema kuwa wezi hao ni wataalamu sana na hawafanyi makosa wanapofanya uhalifu wao.
Tatizo la wizi wa vyuma kwenye reli limekuwa likikumba nchi nyingi za kiafrika ikiwemo Tanzania ambapo wahalifu wamekuwa wakiharibu miundombinu ya reli na wakati mwingine kusababisha ajali kutokana na wizi huo.
 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

KIMATAIFA 1917676657284357216

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item