HIZI NDIO PICHA ZA NICK MINAJ ZINAZOTAZAMWA SANA KWENYE INTERNET NI SHIDAA..!
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/hizi-ndio-picha-za-nick-minaj.html

Ikifika tarehe tarehe 4 mwezi wa 8 mashabiki wote wa Nicki Minaj watafungua iTunes kununua wimbo mpya wa Nick Minaj unaitwa Anaconda. Lakini hivi sasa kick kubwa ni cover ya picha za wimbo huo ambayo alipost kwenye instagram na hadi hivi sasa imepata likes zaidi ya milioni 3.
Picha ya kwanza imepigwa kutoka kwa nyuma na hivi sasa ametoa nyingine iliyopigwa kutoka mbele.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA
