JE UNAWAFAHAMU MASTAA WALIOTOKA KIMAPENZI NA KIM KARDASHIAN..HAWA HAPA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/je-unawafahamu-mastaa-waliotoka.html
Mwanamitindo
Kim Kardashian ambaye hivi karibuni ameamua kuingia rasmi kwenye game
la muziki kibiashara alifunga ndoa na Kanye West May 24, mwaka huu huko
Italia.
Inaelezwa kuwa TJ Jackson ambaye ni mpwa wa Michael Jackson ndiye star wa kwanza kuwa na uhusiano na Kim Kardashian.
Huyu ni producer wa muziki ambaye aliwahi kufunga ndoa na Kim Kardashian na kudumu kuanzia mwaka 2000 hadi 2004.
Nick Cannon aliwahi kuwa mpenzi wa Kim Kardashian na mapenzi yao yalidumu kwa mwaka mmoja tu, 2006 hadi 2007.
Wengi
walikuwa hawafahamu kama The Game aliwahi kuwa na boyfriend wa Kim
Kardashian hadi hivi karibuni alipoamua kufunguka ukweli wakati
anashambuliwa kwa tetesi kuwa anatoka na Khole Kardashian. Akana na
kudai kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na Kim K na sio Khole K.
Uhusiano
kati ya Kim Kardashian na Ray J ulivuma sana huenda kuliko aliwahi
kutoka nao kabla, na ulivumishwa zaidi na filamu fupi ya ngono
waliyorekodi (Ray J na Kim Kardashian). Na hata alipoanza uhusiano na
Kanye West, Ray J aliiachia wimbo wa I Hit It First uliotafsiriwa kama
diss kwa Kim Kardashian na Kanye kwamba yeye ndiye aliyeanza.
Kim
Kardashian alitekwa na Kris Humphries kimapenzi na kuamua kufunga nae
ndoa, lakini ndoa yao ilidumu kwa muda wa siku 72 tu kabla
hawajatengana.
- TJ Jackson

- Damon Thomas

- Nick Canon

- The Game

- Ray J

- Reggie Bush
- MileS Austin
- Kris Humphries

- Kanye West
Moyo
wa Kim Kardashian ulitua kwa Kanye West na wakashibana vyema hadi
kumzalia mtoto wa kike, na mwisho wa siku wakafunga ndoa. Je, safari
yake itakuwa imeishia kwa Kanye West? Au bado picha linaendelea kama
J’Lo? Who Knows…? All the best Mrs. West.
