LUIS SUAREZ AKUTANA NA WAKATI MGUMU MBELE YA MASHABIKI WA FC BARCELONA

MSHAMBULIAJI MPYA WA BARCELONA, LUIS SUAREZ AMEJIKUTA KATIKA WAKATI MGUMU BAADA YA MASHABIKI WA BARCELONA KUMVAMIA AKIWA MTAANI NA MKEWE WAKITAKA KUPIGA NAYE PICHA, ASAINI KWENYE KARATASI NA JEZI ZAO. HALI ILIKUWA NGUMU ZAIDI BAADA YA DADA MMOJA KUMZUIA KABISA SUAREZ AMBAYE BAADAYE ALISAINI KWENYE JEZI YA LIONEL MESSI ALIYOKUWA AMEVAA MMOJA WA MASHABIKI HAO. FIFA IMEZUIA BARCELONA KUMTANGAZA SUAREZ KUTOKANA NA ADHABU ANAYOITUMIKIA YA KUMUUMA GIORGIO CHIELLINI WAKATI WA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MICHEZO 7026672364551983713

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item