NDEGE NYINGINE YAANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/ndege-nyingine-yaanguka-na-kuua-abiria.html
Ndege ya kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makazi ya
watu baada kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Magharibi mwa mji wa
Tehran nchini Iran.
Ndege hiyo inayojulikana kama Iran 141 ilitengezwa nchini Iran kwa
teknologia ya Ukraine imepata ajari na kuua watu wote waliokuwepo kwenye
hiyo ndege.
Kituo cha
television
cha taifa kimetangaza kuwa ndege hiyo ilikuwa na abiria 40 na uchunguzi wa ajali hiyo unaendelea.
Iran imekabiliwa na ajali kama hizo katika siku za hivi karibuni
kutokana na ndege zake zilizozeeka mbali na marekebisho mabaya
inazozifanyia.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA