PICHA - Davido arudiana na 'Kim K wa Afrika

Picha: Davido arudiana na
Mwanamitindo wa Ghana anaetajwa kuwa Kim Kardashian wa Afrika kutokana kutokana na mambo yake, Nish Kards aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Davido, ameongea kupitia picha alizopost Instagram kuwa yeye na Davido ni wapenzi tena.
Mrembo huyo ambaye alikuwa na muda mrefu hajapost picha inayohusu uhusiano huo, ameshare picha inayomuonesha Davido akimbusu, na nyingine wakiwa wameshikana mikono wakitembea na kuandika kuwa yeye ndiye dawa yake inayomtuliza maumivu.
Ujumbe mwingine unamtaja Davido kama ‘Master Key yake’.

“He like a Drug he relieves my pain.” Ameandika Nish.

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

CHANZO TIMES FM

Related

BURUDANI 1307115159316137552

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item