RIHANNA NA DRAKE WAMERUDIANA? WALA PARTY NA KUONDOKA PAMOJA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/rihanna-na-drake-wamerudiana-wala-party.html

Wasanii
hao wamezua hisia kuwa huenda wamerudiana tena hasa baada ya kuingia
katika club hiyo kwa wakati mmoja, wakawa karibu na wakaondoka wote
majira ya saa kumi alfajiri.

Hata
hivyo, Drake na Rihanna waliwahi kuonekana katika hotel moja hivi
karibuni baada ya kufanya show na kuperform ‘Take Care’ huku Rihanna
akioenesha uchokozi wa hali ya juu.


Habari hizi zinakuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Chris Brown na Karrueche Tran kurusha uhusiano wao kama zamani.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA