Snoop Dogg aigomea show akitaka promota atume 'private plane'
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/snoop-dogg-aigomea-show-akitaka-promota.html

Snoop amepost video kwenye Instagram kuhusu mzozo huo katika kila hatua aliyokuwa anaifanya kuhakikisha anawafikia mashabiki wake wa Ibiza.
Alipost video nyingine akiwa katika uwanja wa ndege wa Vienna, Austria ambapo alidai alikaa kwa muda wa saa 7 bila kutumiwa private jet na promoter huyo.
Baada ya promoter huyo kuendelea kuwa kimya, rapper huyo aliamua kubadili ratiba na kuelekea Belgium kupiga vimeo vyake huku akiwaomba radhi mashabiki wake waliokuwa wanamsubiri.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA